Nimepishana na pick up imejaa spanner

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,342
Wana bodi, nimepishana na pick up Nissan Navara imesheheni spanner za ukubwa tofauti tofauti hapa Mkuranga njiapanda ya kisiju kuelekea nyamisati.

Hii pick up ina watu wawili, dereva na abiria wake, wapo serious sana.

Tulikuwa tunapata wali nazi, nimewasikia wakisema "wiki tatu tutakuwa tumekongoloa kila kitu" wakaendelea "ikizidi sana ni mwezi mmoja"

Mwenzie akapigia chapua kwa kusema "uzuri meli inapakilia Mtwara"

Mwili umenisisimka nikasema isijekuwa ni kiwanda cha dangotre!!!

Na nnaomba isiwe Dangotre kwa kweeli.

Niliondoka kabla yao hivyo sikujua hata muda walioondoka wala mazungumzo yao yaliendeleaje

Kama niliowaona pale mkuranga wanaweza kubahatika kuiona posti hii naomba wajitokeze kututoa sintofaham hii
 
Jukwaa la Ucheshi lakini thread haichekeshi
 
Hatari huko!!
Kuna mtu anaitwa "Rasta nyoka"
Huamini muulize mshana jr

Ila tupige dua dangote asikongokoe kiwanda jamani manake anaambiwa hata vipuli eti akachonge Mang'ula mechanical engineering!!! Sasa hii si balaa jamani?
Nataka nipate idhini ya mshana jr tucheze movie ya Ras Nyoka, Mie ndio kubwa LA maadui muendesha fiber boat
 
[emoji38][emoji38][emoji38] umenikumbusha Jk na viwanda vya uongo ,sijui hata umewaza nini ila wewe jamaa creative sana
 
Dangote ni mama yako mwil ukasisimka.
Mmezoea dili.
Kwa hiyo hata spana zilizounda kiwanda zilitupwa wakaagiza upya. Mamanina
 
Dangote ni mama yako mwil ukasisimka.
Mmezoea dili.
Kwa hiyo hata spana zilizounda kiwanda zilitupwa wakaagiza upya. Mamanina
Wewe sio mlengwa, nawaulizia wale jamaa waliokuwa na hiyo Nissan Navara iliyosheheni spanner.
Wakijitokeza ndio watatatua kitendawili tujue kama wakielekea kwenye kiwanda cha dangotre au walikuwa wanaelekea kwa "Bibi msimbati"
 
Hatari huko!!
Kuna mtu anaitwa "Rasta nyoka"
Huamini muulize mshana jr

Ila tupige dua dangote asikongokoe kiwanda jamani manake anaambiwa hata vipuli eti akachonge Mang'ula mechanical engineering!!! Sasa hii si balaa jamani?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hiyo mang'ula mechanical sasa hivi ni st. Mary's sec
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hiyo mang'ula mechanical sasa hivi ni st. Mary's sec
Waziri bado mgeni ofisini hajui hilo.
 
Wewe sio mlengwa, nawaulizia wale jamaa waliokuwa na hiyo Nissan Navara iliyosheheni spanner.
Wakijitokeza ndio watatatua kitendawili tujue kama wakielekea kwenye kiwanda cha dangotre au walikuwa wanaelekea kwa "Bibi msimbati"
Kwan wewe ni mlengwa ni JOGI DANGOTE IGWEDU??????
hapa kodi tu figisu figisu ukoooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…