jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Wana bodi, nimepishana na pick up Nissan Navara imesheheni spanner za ukubwa tofauti tofauti hapa Mkuranga njiapanda ya kisiju kuelekea nyamisati.
Hii pick up ina watu wawili, dereva na abiria wake, wapo serious sana.
Tulikuwa tunapata wali nazi, nimewasikia wakisema "wiki tatu tutakuwa tumekongoloa kila kitu" wakaendelea "ikizidi sana ni mwezi mmoja"
Mwenzie akapigia chapua kwa kusema "uzuri meli inapakilia Mtwara"
Mwili umenisisimka nikasema isijekuwa ni kiwanda cha dangotre!!!
Na nnaomba isiwe Dangotre kwa kweeli.
Niliondoka kabla yao hivyo sikujua hata muda walioondoka wala mazungumzo yao yaliendeleaje
Kama niliowaona pale mkuranga wanaweza kubahatika kuiona posti hii naomba wajitokeze kututoa sintofaham hii