Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh hivi itakua kinyume na sera yetu ya nchi ya viwanda na ajira kwa watanzania walio wengi ???Daaaaah inamaana sisi ajira zetu ndo basi tena
Unaona sasa! Sisi tulishakumbwa na hofu kuwa Dangote "Mazganyanza"
Kabla sijaondoka hewani tuambie mkitokea wapi hadi mkajikuta mpo mkuranga./QUOTE]Kwani ndege si tulinunua msumbiji?umesahau?
Aah kule walishaichoka kitamboIlishaanza kutumika huko au brand new
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Habari ipo kwenye jukwaa sahihi, umefanya jambo zuri sana kusoma jukwaa.