Nimepita Chuo Kikuu Huria - Kinondoni, nimeona pameandikwa 'hapauzwi'

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Aisee nimestuka sana, kwamba kuna mtu alitaka kuuza Chuo Kikuu Huria tawi la Kinondoni.

Tawi la Kinondoni ambalo lipo Biafra karibu na ofisi za Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria.

Je, kulikuwa na tapeli aliyetaka kuuza chuo?
 
Ukifuatilia utasikia kuna mwanasiasa nguli nyuma yake siyo bure
 
Mecheka utadhani jambo zurii, Kuna wenye hati za viwanja wanadai Haki zaoo
 
Yale majengo yamekodishwa na Chuo Wala sio yao.

Yale majengo zamani yalikuwa ya shule ya secondary kinondoni Biafra,sijui nayo walikodisha
 
Duuuh! kutakua kulitaka kutokea tafrani hapo,mtu alitaka kujimilikisha,na atakua na hati kabisa.
 
Yale majengo wamekodi(ni wapangaji)
Kama umeona hvyo basi kuna mgogolo wa mirathi
 
Yale majengo yamekodishwa na Chuo Wala sio yao.

Yale majengo zamani yalikuwa ya shule ya secondary kinondoni Biafra,sijui nayo walikodisha
Kama wamekodi si wanaweza kuhama kuacha mgogoro uendelee wao wapange kwingine
 
Aisee nimestuka sana, kwamba kuna mtu alitaka kuuza Chuo Kikuu Huria tawi la Kinondoni.

Tawi la Kinondoni ambalo lipo Biafra karibu na ofisi za Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria.

Je, kulikuwa na tapeli aliyetaka kuuza chuo?
Chuo kikuu huria maeneo mengi imepanga. So yawekana mwenyej mali kaweka bango
 
Aisee nimestuka sana, kwamba kuna mtu alitaka kuuza Chuo Kikuu Huria tawi la Kinondoni.

Tawi la Kinondoni ambalo lipo Biafra karibu na ofisi za Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria.

Je, kulikuwa na tapeli aliyetaka kuuza chuo?
Matapeli wapo hapo hapo Chuo kikuu huria
 
Back
Top Bottom