Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ukifuatilia utasikia kuna mwanasiasa nguli nyuma yake siyo bureAisee nimestuka sana, kwamba kuna mtu alitaka kuuza Chuo Kikuu Huria tawi la Kinondoni.
Tawi la Kinondoni ambalo lipo Biafra karibu na ofisi za Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria.
Je, kulikuwa na tapeli aliyetaka kuuza chuo?
Kama wamekodi si wanaweza kuhama kuacha mgogoro uendelee wao wapange kwingineYale majengo yamekodishwa na Chuo Wala sio yao.
Yale majengo zamani yalikuwa ya shule ya secondary kinondoni Biafra,sijui nayo walikodisha
Chuo kikuu huria maeneo mengi imepanga. So yawekana mwenyej mali kaweka bangoAisee nimestuka sana, kwamba kuna mtu alitaka kuuza Chuo Kikuu Huria tawi la Kinondoni.
Tawi la Kinondoni ambalo lipo Biafra karibu na ofisi za Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria.
Je, kulikuwa na tapeli aliyetaka kuuza chuo?
Wamefuta kwa kuwa chuo kimeshayanunua tayari.Yale majengo wamekodi(ni wapangaji)
Kama umeona hvyo basi kuna mgogolo wa mirathi
Matapeli wapo hapo hapo Chuo kikuu huriaAisee nimestuka sana, kwamba kuna mtu alitaka kuuza Chuo Kikuu Huria tawi la Kinondoni.
Tawi la Kinondoni ambalo lipo Biafra karibu na ofisi za Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria.
Je, kulikuwa na tapeli aliyetaka kuuza chuo?