Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Leo Kawe watu wanamwagika, nimeambiwa wamekuja kwenye maombezi ya Mwamposa na kukanyaga mafuta na watu leo watapona na kesi zote kwenye maisha yao zitakwisha.
Kilichonishangaza ni kipengele cha jinsia ya wahudhuriaji, karibu wote ni wanawake. Yaani kwa takwimu uchwara katika kila watu 20 labda 19 wanawake, nini sababu ya wanawake kuhudhuria zaidi na wanaume kuukacha mkesha?
Anyways kwa wanaume ambao bado hawajapata wenza, leo wasogee hapa Kawe, kuna rangi na kabila zote.. Kama wana historia ya kukutana na vibuti, nawahikikishia leo wanauaga ukapera rasmi..
Pia, soma=> Arise & Shine: Maelfu ya watu kutoka sehemu mbalimbali duniani waanza kumiminika kwa Mwamposa