Nimepita hapa Kawe kwa Mwamposa, mbona wahudhuriaji karibu wote wanawake?

Nimepita hapa Kawe kwa Mwamposa, mbona wahudhuriaji karibu wote wanawake?

Sisi wanaume ndo tumepelekea wao waende...huko Kuna wake za watu, Malaya, machangudoa, wajane nk wote hao asilimia 90 wameenda kwaajili ya kupata baraka za kupata pesa, pesa ambazo zitachotwa kwenye mifuko yetu na makundi niliyotaja hapo juu.
 
Sisi wanaume ndo tumepelekea wao waende...huko Kuna wake za watu, Malaya, machangudoa, wajane nk wote hao asilimia 90 wameenda kwaajili ya kupata baraka za kupata pesa, pesa ambazo zitachotwa kwenye mifuko yetu na makundi niliyotaja hapo juu.

Nimewaona wakongwe na wale wanajiita independent women 😉
 
Leo Kawe watu wanamwagika, nimeambiwa wamekuja kwenye maombezi ya Mwamposa na kukanyaga mafuta na watu leo watapona na kesi zote kwenye maisha yao zitakwisha.

Kilichonishangaza ni kipengele cha jinsia ya wahudhuriaji, karibu wote ni wanawake. Yaani kwa takwimu uchwara katika kila watu 20 labda 19 wanawake, nini sababu ya wanawake kuhudhuria zaidi na wanaume kuukacha mkesha?

Anyways kwa wanaume ambao bado hawajapata wenza, leo wasogee hapa Kawe, kuna rangi na kabila zote.. Kama wana historia ya kukutana na vibuti, nawahikikishia leo wanauaga ukapera rasmi..
Hao ndio rahisi kurubuniwa
 
Fact mbalimbali
1. Wanawake niwachamungu kuliko wanaume Hilo liko wazi na halihitaji ubishani.
2. Huenda wanawake Wana matatizo mbalimbali kuliko wanaume matatizo hayo nikama, ugonjwa, umaskini, na matatizo mengine
3. Wanawake Wana muda mwingi kuliko wanaume
4. Kwa Tanzania idadi ya wanawake nikubwa kuliko wanaume
 
Kuna shemeji yangu alisafiri hadi Dar eti akaombewe na kupaka mafuta ili apone macho yanamsumbua,yaani hawa KE wasiojielewa hatari. Haya vijana ikifika jioni nendeni mkatafute wa kupooza injini
 

Nimepita hapa Kawe kwa Mwamposa, mbona wahudhuriaji karibu wote wanawake?​

Umeona vema
Kwani walezi wakuu wa watoto,
Ndiyo hao MAMA ZETU,

Acha wajue yote ili wachague ya kuwafunza watoto wetu.

#EXAMPLE;

tunaujua uovu, sio ili tuufanye
Bali tujilinde nao usituangamize,

UMEPEWA KUUJUA WIZI SIO ILI UIBE ILA UWE NA MBINU WASIKUIIBIE.🤔🤐
 
Back
Top Bottom