Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wanaume ndo tumepelekea wao waende...huko Kuna wake za watu, Malaya, machangudoa, wajane nk wote hao asilimia 90 wameenda kwaajili ya kupata baraka za kupata pesa, pesa ambazo zitachotwa kwenye mifuko yetu na makundi niliyotaja hapo juu.
Hao ndio rahisi kurubuniwaLeo Kawe watu wanamwagika, nimeambiwa wamekuja kwenye maombezi ya Mwamposa na kukanyaga mafuta na watu leo watapona na kesi zote kwenye maisha yao zitakwisha.
Kilichonishangaza ni kipengele cha jinsia ya wahudhuriaji, karibu wote ni wanawake. Yaani kwa takwimu uchwara katika kila watu 20 labda 19 wanawake, nini sababu ya wanawake kuhudhuria zaidi na wanaume kuukacha mkesha?
Anyways kwa wanaume ambao bado hawajapata wenza, leo wasogee hapa Kawe, kuna rangi na kabila zote.. Kama wana historia ya kukutana na vibuti, nawahikikishia leo wanauaga ukapera rasmi..