Daah!
Kweli imekuwa kimya kwa upotevu wa matrilion tarifa za CAG?
Kisa wahusika wakuu ni viongozi wa mawizara na Idara mbalimbali??
Kweli kabisa? Siamini nachokiona na kukisikia kwa masikio yangu!
Daah!
Ikitokea mtumishi wa chini kabisa huko kahusishwa tu na udanyifu fulani, achana na ukweli kwamba kaiba, utasikia viongozi wakisema, shikeni huyo peleka mahakamani akajitetee! Kweli?
Mbona hizi tarifa za CAG mliyemwamini nyinyi wenyewe mmezikalia maofsini kwenu?
Watanzania tumepigwa na kitu kizito! Sielewi iwapo bunge linaisaidia hii nchi
Kisamv
Safarini Dar to Mwanza
Siku njema wadau