Nimepita leo Halmashauri ya Dodoma, watu ni wengi sana wenye bahasha za khaki

Hahaha
 
Halafu serikali inalaumu vijana wavivu hawataki kazi.
 
Toka jana kila nikija na bahasha yangu nakuta,Ofisi ya Masjal ipo bize kwa mda.
 
Hapo wanakusanya tu kuweka ushahidi... Hao 100 tayari washaandaliwa
 
Miaka 10 ijayo hii Hali itakuwa Ni hatari hata hizo interview watakuwa wanaitwa tu wenye connection
 
[emoji1787]mdomo unaumba, unakiomba kifafa tena!!
 
Ajira hamna mtaani pagumu watu hawana jinsi
 
Uzi kama hauna hata ka picha yaa ni sawa na picha ya jibwaa kali lkn ndio hali bweki na hali ng'ati

Yaan dodoma.nzima hakuna aliye wapiga picha hao vijanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…