Nimepita MPWAYUNGU Village

Rockefeller

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
1,209
Reaction score
2,243
Katika harakati za kutafuta maisha nimejikuta nimepita Mpwayungu Village Dodoma, kijiji anakotokea member mmoja mtata humu.

Assessment ya haraka haraka inaonesha ni kijiji cha hovyo hovyo which explains attitude ya Mpwayungu Village

Lakini nimeshindwa ku establish link kati kijiji hicho na chuki kwa walimu anayoonesha [mention]mpwayungu village [/mention] [emoji23]


 
[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusubiri Mpwayungu Village alete mrejesho
 
Na hicho kibao atakuwa alikichora huyohuyo Mpwayungu Village
 
Humu jamii forum inaweza kumuona mtu ni Tajiri kumbe yakupasa kumsikitikia!
Mimi nilipokuwa nasoma makala za " Blai" mpwayungu nilijua wazi kuwa huyu anatoka maeneo duni sana ila anataka kuonesha kwamba ana mambo safi!!
Ukisoma mada zake unashangaa kabisa inaonekana kaja Dar miaka Saba iliyopita !!
Hakika ni limbukeni aliyejificha jamii forum
 
Mimi huwa nabishi sana na hoja zenu za kusema sehemu flani ni pabaya wakati sehemu hiyo kuna watu wanaishi na ni kwao.
Pangelikuwa ni pabaya wangelikwisha kuhama na kijiji hicho kisingekikuwepo.
 
Hivi ni mtu wa kujigamba???
 

Hajajificha.
 
Vumbi kali sana huko kipindi cha kiangazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…