Nimepita Mwananyamala, malaya wanatia huruma na nimelia machozi. Wanaume tuanzishe harambee

Nimepita Mwananyamala, malaya wanatia huruma na nimelia machozi. Wanaume tuanzishe harambee

Inasikitisha sana ,sema hao mara nyingi washajikatia tamaa.
Hajui kitu huyo mleta mada.

Huyo kapita mida ya mchana kawakuta wamepumzika wamechoka. Aende kuanzia saa 12 jioni ndiyo atajua hao watu wanamake hela nyingi kuliko mtu wa white colour job. Kazi ya umalaya inawalipa vizuri tu kuliko alivyandika hapa.
 
Ok
"usimhurumie kahaba wala malaya kwakua siyo mfanyakazi za mikono yake".....

Hebu jamani tutafute pesa ya kuwasaidia yatima vilema na wazee na siyo mtu anayejiuza ili kesho apate pesa ya kununua vipodozi na maungo ya kumvutia mwanaume mwingine.....

ushauri..

ukionana nao tena uwakumbushe kuwa warudi kwenye familia zao au waume zao wakaendeleze uvumilivu katika ndoa....maana...

"Mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe" na kwanini siyo mwanaume?
 
Vile wanawake wa JF wanauchungulia huu uzi kwa mbali😁😁😁
downloadfile-6.jpg
 
Back
Top Bottom