Nimepita Riverside nikanusurika kudakwa

Nimepita Riverside nikanusurika kudakwa

Hahaha kawaida tu. Wanafunzi wa Pandahill ukiwauliza mnasoma wapi wanakujibu "Tunasoma Ester Jose"[emoji1787][emoji1787]
Hii sio joke, nimemuuliza leo mtoto mmoja maeneo ya Iwambi akanijibu hivyo nikabaki kucheka tu dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] full vichekeshooo.
 
Back
Top Bottom