Nimepitia Nicknames zote za Nchi za Afrika na Kuvutiwa zaidi na ya Tanzania

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tanzania inaitwa The Brain of Africa Kiutani. Je, unakubaliana nalo? Kumbe unaweza Kuidharau Tanzania na ukaja kukuta ndiyo Taifa linalotegemewa Kuziinua Kifikra Nchi zingine.

Nakupenda tena Tanzania yangu kuanzia leo ( japo nilianza Kukuchukia hasa baada ya hawa Wasumbufu DP World na Mwarabu wa Mbuga Kuu ya Utalii ) kwani Kweli Wewe ni Brain of Africa.
 
hii nchi ndiyo ilivyo na inastahili kuitwa hivyo. Ukisikia bongo ndiyo brain yenyewe
 
Tanzania inaitwa The Brain of Africa Kiutani. Je, unakubaliana nalo? Kumbe unaweza Kuidharau Tanzania na ukaja kukuta ndiyo Taifa linalotegemewa Kuziinua Kifikra Nchi zingine.

Nakupenda tena Tanzania yangu kuanzia leo ( japo nilianza Kukuchukia hasa baada ya hawa Wasumbufu DP World na Mwarabu wa Mbuga Kuu ya Utalii ) kwani Kweli Wewe ni Brain of Africa.
Brain of Africa ameshindwa kuendesha bandari. Ameshindwa kabisa kusimamia ngorongoro haadi anaitoa kwa waarabu. Brain of Africa hajui mikataba yenye Mitego, brain gani kila wanachosema waarabu yeye Ni yes yes.
 
Screenshot_20230906-171116.jpg
Screenshot_20230906-171127.jpg
 
Mzee Wa multiple IDs amekosa kazi akaamua kuleta Uzi wa kitoto.
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
 
Tanzania inaitwa The Brain of Africa Kiutani. Je, unakubaliana nalo? Kumbe unaweza Kuidharau Tanzania na ukaja kukuta ndiyo Taifa linalotegemewa Kuziinua Kifikra Nchi zingine.

Nakupenda tena Tanzania yangu kuanzia leo ( japo nilianza Kukuchukia hasa baada ya hawa Wasumbufu DP World na Mwarabu wa Mbuga Kuu ya Utalii ) kwani Kweli Wewe ni Brain of Africa.
Unajipa Nickname kisha unajisifu mwenyewe! Nisawa na kujitekenya kisha unacheka mwenyewe.
 
Brain of Africa ameshindwa kuendesha bandari. Ameshindwa kabisa kusimamia ngorongoro haadi anaitoa kwa waarabu. Brain of Africa hajui mikataba yenye Mitego, brain gani kila wanachosema waarabu yeye Ni yes yes.
Ni mabongolala.
 
Back
Top Bottom