GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
hii nchi ndiyo ilivyo na inastahili kuitwa hivyo. Ukisikia bongo ndiyo brain yenyeweTanzania inaitwa The Brain of Africa Kiutani. Je, unakubaliana nalo? Kumbe unaweza Kuidharau Tanzania na ukaja kukuta ndiyo Taifa linalotegemewa Kuziinua Kifikra Nchi zingine.
Nakupenda tena Tanzania yangu kuanzia leo ( japo nilianza Kukuchukia hasa baada ya hawa Wasumbufu DP World na Mwarabu wa Mbuga Kuu ya Utalii ) kwani Kweli Wewe ni Brain of Africa.
Brain of Africa ameshindwa kuendesha bandari. Ameshindwa kabisa kusimamia ngorongoro haadi anaitoa kwa waarabu. Brain of Africa hajui mikataba yenye Mitego, brain gani kila wanachosema waarabu yeye Ni yes yes.Tanzania inaitwa The Brain of Africa Kiutani. Je, unakubaliana nalo? Kumbe unaweza Kuidharau Tanzania na ukaja kukuta ndiyo Taifa linalotegemewa Kuziinua Kifikra Nchi zingine.
Nakupenda tena Tanzania yangu kuanzia leo ( japo nilianza Kukuchukia hasa baada ya hawa Wasumbufu DP World na Mwarabu wa Mbuga Kuu ya Utalii ) kwani Kweli Wewe ni Brain of Africa.
Mzee Wa multiple IDs amekosa kazi akaamua kuleta Uzi wa kitoto.Popoma Bwana,Naona Dish limegeukia bagamoyo saiv
Nimecheka mpaka basi.Popoma Bwana,Naona Dish limegeukia bagamoyo saiv
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?Mzee Wa multiple IDs amekosa kazi akaamua kuleta Uzi wa kitoto.
Unajipa Nickname kisha unajisifu mwenyewe! Nisawa na kujitekenya kisha unacheka mwenyewe.Tanzania inaitwa The Brain of Africa Kiutani. Je, unakubaliana nalo? Kumbe unaweza Kuidharau Tanzania na ukaja kukuta ndiyo Taifa linalotegemewa Kuziinua Kifikra Nchi zingine.
Nakupenda tena Tanzania yangu kuanzia leo ( japo nilianza Kukuchukia hasa baada ya hawa Wasumbufu DP World na Mwarabu wa Mbuga Kuu ya Utalii ) kwani Kweli Wewe ni Brain of Africa.
Ni mabongolala.Brain of Africa ameshindwa kuendesha bandari. Ameshindwa kabisa kusimamia ngorongoro haadi anaitoa kwa waarabu. Brain of Africa hajui mikataba yenye Mitego, brain gani kila wanachosema waarabu yeye Ni yes yes.