Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Satellite inawazoom
Chadema ni chama cha ******* sana wanashindwa hata kumiliki drone kwa kazi nyeti kama hizo na internet ya musk ...siku ya maandamano nilitegemea kuona drone kama 50 hivi zikifanya kazi kwa siri.Satellite ipo wafanye usenge wao
Nimepitia video ya ndugu sam wataia hana furaha na hayuko sawa heti anawaambia wamama alio waulia watoto zao wawakanye wasidai haki.
Ndugu Samia alikuwa njiani kuelekea Arusha na kikundi chake cha maigizo.
Yeye ni amani amani tu, hata wale wasiopewa miili ya ndugu zao yeye anataka amani amani.
Atarudi je huku tunadai uhai wa ndugu zetu..lazima atawajibika kwa hiloHuyu arudi tu Kizimkazi. Watanganyika wamekataa kutawaliwa na mgeni kutoka kwenye kanchi kadogo ka jirani.
Kinacho muwazisha ni wafadhili, hivyo vifo hata hajali.Nimepitia video ya ndugu samia hana furaha na hayuko sawa heti anawaambia wamama alio waulia watoto zao wawakanye wasidai haki.
Ndugu Samia alikuwa njiani kuelekea Arusha na kikundi chake cha maigizo.
Yeye ni amani amani tu, hata wale wasiopewa miili ya ndugu zao yeye anataka amani amani.
Mkuu binafsi naipongeza sana Tanzania hata kwa hapa tulipofikia ,ule Moshi wa mwenge ulikuwa umetulaza to the hundred.Ila watanzania bana!!!
People are very happy as if nothing happened. Wanaasiasa wanakula bata, polisi wanaishi vizuri sana.
Hizo hasira na maumivu ya kuuliwa na ndugu zenu ni za mitandaoni tu???
Au mmelidhika na kumwachia mungu??
If you can't avenge, msitupigie kelele kuhusu ndugu zenu walioliwa kwa risasi. Take actions, do something to the people you think killed your people