Nimepokea mesej kutoka kwenye kampuni siijui.

hawa majamaa ni gnld wako sinza mori biashara ya mtandao hiyo kama za forever living
 
ni kweli hata mm nshapata text hizo nifike sinza mori nkaenda lkn kikubwa ni kujiunga nao kwanza ambapo wanataka laki ili ununue product zao ambazo utatumia na ushauri wenzio kutumia ni vitu kama sabuni ,lotion na madudu mengi eti natural kadr utakavyo shawishi wengi kutumia baada ya kujiunga ndo mtandao wako unakua hivyo wanaanza kukupa percent kadhaa as your salary otherwise noyhing new with them
 

mie niliwahi kukutana nao wa aina lakini sio hawa, wenyewe walitangaza nafasi za kazi zoom nikaomba wakanipigia simu niende kwenye interview lakini nitume 50,000/=, ili niwe na uhakika wa kupata nafasi, nikawauliza kwani mko wapi? wakaniambia mlandizi, nami nikawaambia niko mlandizi nielekeze sasa hivi mlipo nije ofisini, wakakata simu, tena alikuwa ni demu,
 
Hao ni forever and living products,unakua unatembeza bidhaa mitaani
 
Hawa jamaa wangekuwa wanacheua salary ya maana ningefanya nao kazi ila tatizo mshara mauzo yako.
Hao ni forever and living products,unakua unatembeza bidhaa mitaani
 

Duuh.. Kuna watu ambao wako so desperate kwenye kutafuta kazi.. wakiambiwa watume mkwanja faster tu wanatuma..
 
Hiyo ni kampuni ya gnld international- inasambaza product zinaoendana na zile za aloe vera, mimi walishanipigia nikafuatilia hadi mwisho ila sikutaka kujiunga. Hamna utapeli wowote ila tu watakueleza kila kitu ukiamua kujiunga poa, usipotaka hawakulazimishi. All the best uamuzi ni wa kwako.
 
hahaha unajua wale wanao tembeza sabuni, dawa zameno, alovela, mabeseni, hotpot na vijiko pamoja na dawa za kichna, maranyng utembelea maofcn, stand na nje ya makanisa au miskit, wana maneno yao fulani maneno ya ushawish tena wanaongea kwa spd sana, wanapenda kuchomekea lakin jua uwaumbua. ni exces marketn. kawasikilize wakukabizi miswaki na beseni upewe na mitaa ya kuzungukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…