miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Wazushi hao wapo sinza wauza madishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazushi hao wapo sinza wauza madishi.
hawa majamaa ni gnld wako sinza mori biashara ya mtandao hiyo kama za forever living
mwambie huyo Magdalena hutumii huo mtandao
Kuwa makini.. Juzi kati hapa nilipata cimu inayofanana na hiyo.. Nikaambiwa niende pale Diamond nikaonane nao.. Nilimuuliza alienipigia amenijuaje akaniambia nimekuwa recommended na dada mmoja (wakataja na jina).. Nikawaambia ngoja nicheki na huyo dada kama kweli.. Nilipowaciliana nae akashangaa sana akasema hajawahi kuongea na mtu kuhusu mie..! Nadhani na wao waliona wamenikosa maana hawakunitafuta tena.. Cijajua sasa utapeli wao ungekuwa wa aina gani..Labda ambae ameshawahi kukumbana nao ana kwa ana atujuze hapa..
Hao ni forever and living products,unakua unatembeza bidhaa mitaani
mie niliwahi kukutana nao wa aina lakini sio hawa, wenyewe walitangaza nafasi za kazi zoom nikaomba wakanipigia simu niende kwenye interview lakini nitume 50,000/=, ili niwe na uhakika wa kupata nafasi, nikawauliza kwani mko wapi? wakaniambia mlandizi, nami nikawaambia niko mlandizi nielekeze sasa hivi mlipo nije ofisini, wakakata simu, tena alikuwa ni demu,
Ungeweka namba kamili badala ya hiyo 0713 ambayo ina matumizi mengine kabisa