Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,446
- 3,184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kabila lako mna allergy ya pesa🤸🤸🤸🤸😂😂😂Juzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!
Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?
Ps. Sikua nasubiria hela kokote
Kizuri kula na wenzio basi..Hahaha hii weekend hii sijui kama nitatoboa unless waibebe leo
Halafu kweli😅😅😅Hakuna meseji kama iyo
Wamemtangulizia kushika uchumba au😂😂😂