Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ukiwa huna hela unawaza mambo ya ajabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya maamuziUjasiri wa kuzitumbua upo ngoja kesho ifike alasiri
[emoji3][emoji3][emoji3]Ukiwa huna hela unawaza mambo ya ajabu sana
NakaziaUkiwa huna hela unawaza mambo ya ajabu sana
Kumbe ungejipugia hamna wa kukufuataIla haya mambo ya ajabu Sana. Niliwahi kuwekewa karibu 3m. Hiyo fedha ilikaa kwa chini ya saa moja na baadae ikatolewa na kubakiza 300,000 tu. Nilivyocheki nikakuta benki husika zote si za nchi hii hivyo walitumia akaunti yangu kusafisha fedha yao ambayo nahisi ilikuwa chafu. Nilikauka kwa muda ili waondoe hiyo fedha yao, lakini hawakufanya hivyo kabisa. Nikaona pengine hiyo 10% ndo mgao wangu, basi nikajilipa polepole.
Mzigo umo mkuu
Vitu haviwezekani unalazimisha vitokeeNakazia
imi nikiwa sina pesa nikitembea njian naomb mtu aangushe laki moja au zaid nikiona maombi hayatimii bas naaza kuomba kuokota 10k[emoji3][emoji3][emoji3]
Baadae asianze ooh, aah, uzalendo wa hapa na pale.Wamemtangulizia kushika uchumba au😂😂😂
We si umesema CRDB?Faidika financial services
🤣 🤣 🤣Piga upigwe
Unazingua tumia izo au unataka zipotee kabisa mungu akupe nini macmuga 😁Juzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!
Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?
Ps. Sikua nasubiria hela kokote
Heee hayaaHuyo anayesema faidika sio mimi