Nimepokea muamala from bank tangu juzi sijui zilipotoka! Natamani kuzitumbua roho inasita

Ila haya mambo ya ajabu Sana. Niliwahi kuwekewa karibu 3m. Hiyo fedha ilikaa kwa chini ya saa moja na baadae ikatolewa na kubakiza 300,000 tu. Nilivyocheki nikakuta benki husika zote si za nchi hii hivyo walitumia akaunti yangu kusafisha fedha yao ambayo nahisi ilikuwa chafu. Nilikauka kwa muda ili waondoe hiyo fedha yao, lakini hawakufanya hivyo kabisa. Nikaona pengine hiyo 10% ndo mgao wangu, basi nikajilipa polepole.
 
Kumbe ungejipugia hamna wa kukufuata
 
Juzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!

Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?

Ps. Sikua nasubiria hela kokote
Unazingua tumia izo au unataka zipotee kabisa mungu akupe nini macmuga 😁
 
Hahahahaa nicheke niliwahi tumiwa laki tatu ikakaa wiki tatu nikaitoa safi tu ila kuna jamaa yangu nae aliingiziwa laki akaitoa chap wakaja kumkata kwenye maokoto yake cha kufanya kama una kipato cha kuunga unga iache kwanza utakuja kupigwa kitu kizito ,nb, nafikiri kuna michezo watu wa mabank wanaifanya
 
Back
Top Bottom