Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Aahaaaa, Jugador_2023 anataka akupe Salio la kubetiaKuna nini mkuu!? Umeniita fasta hata sijasoma mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaaaa, Jugador_2023 anataka akupe Salio la kubetiaKuna nini mkuu!? Umeniita fasta hata sijasoma mada
Mzee si uniungishe ata ten, CRDB wanakwambia kitu kimesimama😂
I know ni noma ila nitaikwapua maana kesho ni ijumaaBank haijawahi kosea!..... Kama vile Maji yasivyosahau mkondo wake... Jichangange uile!!!.... Utaona moto... Utashtakiwa ama utatakiwa ulipe! hapo ndio Utajua hujui! Na makosa ni yao
Sijui ilipotoka labda nicheki statementKuwa mwaninifu..hata kama unashida Sana irudishe..uaminifu wako unaweza kukupeleka kwenye baraka zaidi..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
eti why niingiziwe hela bila maelezo then itolewe???Sasa kama waliitoa why wakusumbue?
CRDB message zao ziko hivyoInatakiwa iwe ivo. Na usiweze reply. Hiyo namba ya cm hapo ya nn? Piga upigwe.
View attachment 2741990
Hapana siyo bank zote zibatoa taarifa km hiyo. Huyu ni wa CRDBInatakiwa iwe ivo. Na usiweze reply. Hiyo namba ya cm hapo ya nn? Piga upigwe.
View attachment 2741990
Wewee hizo toka DPW kukuziba mdomo, mimi nilinunulia bodaboda.Juzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!
Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?
Ps. Sikua nasubiria hela kokote
Aisee 🤣Wewee hizo toka DPW kukuziba mdomo, mimi nilinunulia bodaboda.
Aisee! Kula pesa wewe au njoo Kibororoni nikupe maelekezo.Aisee 🤣
Nimechiki account hela imeingia kwenye account yangu.Hao ni CRDB na ebu angalia kwa umakini hizo namba za hiyo akaunt. Nahisi siyo zako Ila namba ya sm iliyopokea ujumbe ndo yako. Kwa uthibutisho zaidi piga hiyo namba ni ya CRDB watakupa maelezo.
Usisahau kuleta hapa mrejesho.
Hakuna meseji kama iyo