Nimepokea muamala from bank tangu juzi sijui zilipotoka! Natamani kuzitumbua roho inasita

Nimepokea muamala from bank tangu juzi sijui zilipotoka! Natamani kuzitumbua roho inasita

Bank haijawahi kosea!..... Kama vile Maji yasivyosahau mkondo wake... Jichangange uile!!!.... Utaona moto... Utashtakiwa ama utatakiwa ulipe! hapo ndio Utajua hujui! Na makosa ni yao
 
Kuna wakati watakuja kukudai hiyo hela, kama utakuwa hujaitoa, wataiondoa wenyewe.
Kama utaamua kuitoa basi ifanyie la maana na la kuwajibu ni kuwa ulishaitumia na utakuwa unawalipa kidogo kidogo kulingana na uwezo wako, hawakupangii kiwango cha kurudisha
 
Hao ni CRDB na ebu angalia kwa umakini hizo namba za hiyo akaunt. Nahisi siyo zako Ila namba ya sm iliyopokea ujumbe ndo yako. Kwa uthibutisho zaidi piga hiyo namba ni ya CRDB watakupa maelezo.

Usisahau kuleta hapa mrejesho.
 
Nimechiki account hela imeingia kwenye account yangu.
 
Back
Top Bottom