Wewe kabila lako mna allergy ya pesa๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐๐๐Juzi nimepokea from bank tshs 1m plus....niliziacha labda watachukua ila Kila nikicheki mzigo umo!
Yaani hizi hela zinanifanya nisilale Kwa Amani Kwa tamaa ya kutaka kuzitumia...
Nizitumbue au?
Ps. Sikua nasubiria hela kokote
Kizuri kula na wenzio basi..Hahaha hii weekend hii sijui kama nitatoboa unless waibebe leo
Halafu kweli๐ ๐ ๐Hakuna meseji kama iyo
Wamemtangulizia kushika uchumba au๐๐๐