Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

Vipi kuhusu Alibaba
 
Weee.
Kujua post code ya eneo husika:
*152*00# call mtandao wowote bure.
Utachagua no 3.
Chagua tena no 3( post kodi za kata)
Chagua tarakimu yenye herufi ya mkoa wako.
Chagua Mkoa
Utaulizwa Wilaya. Chagua tarakimu yenye herufi ya Wilaya.
Chagua Kata ( Ward) Tafadhali fahamu Kata yako.
 
Mimi huagiza mara kibao na ninapata sijawai kupoteza mzigo. Nichogundua tatizo lipo posta wanakaa sana na mizigo kuna muda nilikuwa nalazimika kupiga simu posta kulalamika wanaomba namba ya mzigo ndiyo napata mzigo
Unatakiwa utrack mzigo wako boss ukifika bongo unaufuata ukisema usubiri upigiwe utatubu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Leo tarehe 6/4/2023 Nimeagiza bidhaa 3 from Ali express. Ngoja nione kama ntazipata🥲🥲
Bidhaa zako utazipata kiongozi,, mimi natumia sana Aliexpress kununua vitu vingi vya matumizi ya nyumbani na vifaa vya simu mpaka nimekuwa mfanyabiashara wa simu na vifaa vyake kupitia Aliexpress..Mzigo unanifikia mpaka nyumbani naanza kusambaza bidhaa zangu kwa wateja wangu...Kwa kifupi nimejiajiri kupitia Aliexpress...Nafurahia sana huduma zao
 
manunuzi mtandaoni!!!! acha nionekane mshamba..
'hutakaa usikie kilio kwa muoga'
 
Bei ya shipping wanakukadiriaje unapoagiza zaidi ya kimoja.?maana mimi nikijaribu kuongeza Quantity ya mzigo ndio charges zinapanda
 
Bei ya shipping wanakukadiriaje unapoagiza zaidi ya kimoja.?maana mimi nikijaribu kuongeza Quantity ya mzigo ndio charges zinapanda
Lazima ipande,mfano ukitaka kusafirisha Laptop moja kwa njia ya bus kutoka dar kwenda dodoma gharama inaweza ikawa 30,000/=

Lakini ukitaka kusafirisha Laptop mbili gharama haiwezi kuwa 30,000/= badala yake itakua 60,000/= au unaweza ukapewa discount ukasafirisha kwa 58,000/=

Na kwa Aliexpress ni hivo hivyo,ukisafirisha more than one piece gharama zitapanda lakini watakupa discount kidogo
 
Mkuu mizigo yote hii inakuja na unaipokea posta? Msaada mkuu wangu
 
Redmi Note 11 Bongo ni around 500K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…