Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Makato ni sh ngapi???!Njia nyingine rahisi ingia Mpesa utengeneze virtual visa card ambyo zaman walikua wanaiita master card, unapewa namba ya card, expire date na security code kabisa then unadeposit kias unachohitaj kulipia kwenye hiyo visa card yako tena kutoka kwenye mpesa yako tu unafanya malipo kabosa