Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

Makato ni sh ngapi???!
 
Niliagiza mzigo kipindi cha covid ilipoanza, haujawahi kufika mpaka leo, sijaagiza tena[emoji3] ila kabla ya covid uagizaji ulikuwa poa sana mizigo yangu yote ilifika.
Kama upo nje ya Dar utaupata tu vuta subra bnafs niliagza chen fulan 2020 mwanzon nimekuja kupigiwa simu mwaka huu nikafuate huo mzigo huko posta
 
Kama upo nje ya Dar utaupata tu vuta subra bnafs niliagza chen fulan 2020 mwanzon nimekuja kupigiwa simu mwaka huu nikafuate huo mzigo huko posta
Kingine watu wajue aina ya shipping,kuna zinazo chelewa na kuna zinazowahi,mtu unakuta kaagiza mzigo alafu free shipping ya caniao [emoji3] lazima ahesabu siku 90 hapo
 
Asante mkuu.
 
Watu hatupendi kulipa kodi, why??!
 
sa mbona oda za 2018 na 2019 ndo unazitolea uzi 2022 boss. alafu kama umepiokea bidhaa juzi.

Na bidhaa zote ulizonunua hapo ni fake na sio original.

yaani ulinunua tu macopy
Hujui unachoongea feki vipi yaani? Wakati nimeagiza kile ninachokihitaji? Kwa sasa nagiza mizigo mikubwa toka Alibaba
 
Hujui unachoongea feki vipi yaani? Wakati nimeagiza kile ninachokihitaji? Kwa sasa nagiza mizigo mikubwa toka Alibaba

Sawa naelewa ila umenunua feki bila wewe kujua, hizo bidhaa 2018-2019 zote ni feki.

Watu wengi online wanakosa maarifa, hata namna ya jina inavyoandikwa kwenye bidhaa unaweza kujua hii ni fake au la.
 
sa mbona oda za 2018 na 2019 ndo unazitolea uzi 2022 boss. alafu kama umepiokea bidhaa juzi.

Na bidhaa zote ulizonunua hapo ni fake na sio original.

yaani ulinunua tu macopy
Hakuna bidhaa fake hapo otherwise huzijui
 
Sawa naelewa ila umenunua feki bila wewe kujua, hizo bidhaa 2018-2019 zote ni feki.

Watu wengi online wanakosa maarifa, hata namna ya jina inavyoandikwa kwenye bidhaa unaweza kujua hii ni fake au la.
Hizo simu coolpad na Lenovo nafikiri huzijui vizuri ni simu bora mara mia huwezi kufananisha na tecno au infinix ni takataka fanya research kabla ya kusema
 
Wako vizuri mkuu, nilishawahi kuagiza bidhaa nyingi bila usumbufu kama vile Ipad, simu, n.k.

Hivi juzi nimeagiza Huawei Smartwatch imefika haraka. Pia kwa upande wangu sijawahi tozwa kiasi chochote na posta.

Kama kunakitu unahitaji usihofu agiza tu, ila soma maelezo ya bidhaa husika kwa umakini hawafichi kitu kama bidhaa sio original watakwambia kabisa hii sio original.
 
Asnte mkuu kwa mrejesho, na wew unatumia sanduku la posta lako mwenyew au la mkoa ??
 
Nmejaribu kuangalia kwenye laptop shipping fee zao kubwa sana yaani, kwa mfano pia nmetafuta HeatPress ya 5 in 1, machine ambayo wao wanauza $120 tu ila Shipping fee naambia $250 ukijumlasha hapo $350
Agiza nunua kisha safirisha na shamwaa logistic, unaweka address ya wao huko china, mzigo ukipokelewa wanausafirisha na airtanzania, fee zao siyo kubwa
 
Agiza nunua kisha safirisha na shamwaa logistic, unaweka address ya wao huko china, mzigo ukipokelewa wanausafirisha na airtanzania, fee zao siyo kubwa
Asnte mkuu, wana website ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…