Nimepokea simu na email ambazo zinanipa wasiwasi na hofu

Nipe jina la shule nifanye cross check.
Ikiwa matapeli utakuja kuwatambua wakiwa uchi..
Sina utani na matapeli mm.
Karibu kijana nipe details zao.
Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua . Najingine maisha mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
 
Graduates wa siku hizi ni bure kabisa. Sisi enzi zetu tulikua tunaenda hadi maporini na vibahasha vyetu kisa kuna kibao kinaonesha uhai huko wa kupeleka CV na hatukuogopia kitu, afu we unakuja kuogopa email na call? Hopeless kabisa
Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua . Najingine maisha mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
 
Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua . Najingine maisha mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao. Nyie wabaguzi mnaangalia mtu wa kuwasaidia
 
Nenda polisi
 
Njoo nikuliwaze.....nikutoe dukuduku🙂
 
Unapews ajira halafu unamuuliza muajiri ametoa wapi mawasiliano yako?

Wewe kama ni Ke, nina mashaka utazeekea home kwa kuembarass wachumba
 
Mkuu, nnavyowaza hapo kuna mtu amekufanyia connection ya kupata ajira hapo. Hakuna utapeli wala nini. Fuatilia vizuri ila utakuja toa mrejesho huo hapa
 
Hujaweka CV zako mtandaoni? Kama umeweka huenda wamezipata huko.
 
Kwani Unique nini kimetokea
 
Mkuu tupe mrejesho professional ethics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…