Nimepokea sms kutoka kwa afande sele.

Nimepokea sms kutoka kwa afande sele.

sekulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
988
Reaction score
158
Ujumbe wenyewe unasema hivi:
"Ah, huyu JK kwa tamko lake hili kuhusu studio aliyowapa THT na Ruge anaonyesha jinsi gani asivyo kiongozi makini na kwa mtazamo halisi anaonyesha ni jinsi gani hakustahili kuwa mkuu wa nchi.
Anajenga makundi ya chuki na uhasama katika kila sekta kuanzia kwenye chama chake, serikali yake na sasa kwenye sanaa na haswa mziki wetu ambao ndio amekuwa akijinadi kuusaidia kumbe katika hii awamu yake ndio mziki umepotea mwelekeo.
Sasa kama anasema studio aliwapa waliomuomba mbona mimi na watu wengine wenye misimamo tulikuwepo siku ile alipoahidi studio hatujui lolote na hatujaonyeshwa hiyo studio?"

Kw Hisani ya
Hugoline M. Martin,
 
usiongeze wa kupunguza kitu alicho sema na kweli kabisa, hata SUGU amepigia kelele sana lakini anakosa support kisa yuko CHADEMA.
 
Back
Top Bottom