makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
We jamaa unaonekana mweupe sana kwenye boxing halafu hujielewi.Inawezekana.
Mkataba hua unakua kwamba "Wewe A utachukua asilimia 48 ushinde ushindwe wewe B utachukua asilimia 52 ushinde ushindwe"
Ndiyo maana Mayweather kawakimbia wakina Rigo, Crawford, GGG, Banks Jr n.k. kwasababu alifocus kwenye pesa. Katumia muda mwingi sana ulingoni na journeyman kuliko real boxers.
Utaweza kashkashi za Gym? [emoji16][emoji16]Billion 1...[emoji33][emoji44]. Kwann ckuzaliwa gym mimi
Halafu unamshindanisha Floyd na Chriss Eubanks??Inawezekana.
Mkataba hua unakua kwamba "Wewe A utachukua asilimia 48 ushinde ushindwe wewe B utachukua asilimia 52 ushinde ushindwe"
Ndiyo maana Mayweather kawakimbia wakina Rigo, Crawford, GGG, Banks Jr n.k. kwasababu alifocus kwenye pesa. Katumia muda mwingi sana ulingoni na journeyman kuliko real boxers.
Bajeti ya TZ nzima ni trilioni 13 kwa mwaka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]1 usd hapo ni kama trilion 2 hiv na ushekhe za kitanzania
Kuna ka ukweli flani Hivi!Bondia asiyepigika Floyd Money Mayweather hatimaye amekubali kufanya rematch na Conor McGregor ila safari hii haitakuwa boxing tena bali UFC kwa dau la USd 1 billion
Na hatoishia kwa Conor tu bali atapambana na mabondia wengine watatu wa UFC kwa dau lisilopungua pia USD 1 billion.
Kiukweli natamani haya mapambano Floyd ayavunje tu hao jamaa wa UFC wanamtamani kweli kwa kuwa wamemshindwa kwenye boxing sasa wamemualika kwao kwa kumdanganya na dau nono na mwishoe Floyd amewakubalia.
Hizi tamaa za Floyd zimenikwaza sana mimi kama shabiki wake nambari moja ulimwenguni
Falsafa zake Floyd ipo siku zitamtokea puani , yeye husema kuwa haangalii sana kupoteza pambano yeye huangalia pesa atakazo ingiza baada ya pambano.
Lakini siku zote bwana pesa huisha ila heshima uliyojiwekea na kuitunza kamwe haiwezi kuisha au kushuka.
Sasa kwa mwendo huu naona kabisa ile record yake ya undefeated inaenda kupotea.
Pesa mingi kama bajeti ya tz1 usd hapo ni kama trilion 2 hiv na ushekhe za kitanzania
Dah! Maisha hayakofea kabisa, wakati mwenzetu mkono wake unaingia trilion, kuna mwingine mkono wake anapiga brush viatu..Bajeti ya TZ nzima ni trilioni 13 kwa mwaka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu nitajie bondia mrahisi ambaye unahisi Floyd amepigana naye?Inawezekana.
Mkataba hua unakua kwamba "Wewe A utachukua asilimia 48 ushinde ushindwe wewe B utachukua asilimia 52 ushinde ushindwe"
Ndiyo maana Mayweather kawakimbia wakina Rigo, Crawford, GGG, Banks Jr n.k. kwasababu alifocus kwenye pesa. Katumia muda mwingi sana ulingoni na journeyman kuliko real boxers.
Maisha hayako fair kabisa.. we fikiria mguu wa pogba mihela uliolipiwa wakati bongo kuna mtu mguu wake anaupigia kiki za boda boda tuu.Pesa mingi kama bajeti ya tz
Ilishaonekana tokea hujazaliwa kuwa wewe ni muoga wa kupigwa ngumi za uso kwahiyo ridhika tu na hali yako mkuu..Billion 1...[emoji33][emoji44]. Kwann ckuzaliwa gym mimi
Hapana 1 usd=Almost Tsh 23001 usd hapo ni kama trilion 2 hiv na ushekhe za kitanzania
Chukua 1 Billion USD zidisha na hiyo 2300 uone unapata kiasi ganiHapana 1 usd=Almost Tsh 2300
Niliyem quote amesema 1 usd& not 1 bil usdChukua 1 Billion USD zidisha na hiyo 2300 uone unapata kiasi gani
1 $ sio 1 billion $...hamjaelewana sehemuChukua 1 Billion USD zidisha na hiyo 2300 uone unapata kiasi gani
Hawezi shindwa hata tenisiNgoja nami nimfanye mwanangu atafute kipaji mapema. Haya maisha inabidi kumtafutia kipaji mapemaa mwanao asijekuwa shabiki tu.
Nilisahau kuweka neno bilion, shukrani mkuu.Hapana 1 usd=Almost Tsh 2300
jamani wanajf mbavu zangu. Aisee Kama Una marejesho ntakupiga jeki miezi mitatu you made my dayBillion 1...[emoji33][emoji44]. Kwann ckuzaliwa gym mimi