Nimepokea taarifa za kuhuzunisha kuhusu bondia Floyd Mayweather

Nimepokea taarifa za kuhuzunisha kuhusu bondia Floyd Mayweather

Inawezekana.

Mkataba hua unakua kwamba "Wewe A utachukua asilimia 48 ushinde ushindwe wewe B utachukua asilimia 52 ushinde ushindwe"

Ndiyo maana Mayweather kawakimbia wakina Rigo, Crawford, GGG, Banks Jr n.k. kwasababu alifocus kwenye pesa. Katumia muda mwingi sana ulingoni na journeyman kuliko real boxers.
We jamaa unaonekana mweupe sana kwenye boxing halafu hujielewi.

Rigondeux kapigwa kizeembe sana kwa RTD juzi na Lomachenko akasingizia mkono unamuuna ndio wakumshindanisha na Floyd?

Huyo GGG kamshindwa hata Canelo Alvarez atamuweza Floyd?

Canelo alitandikwa kama mtoto na Floyd lakini GGG kasanda.

GGG ngumi hajui wala hana defence nzuri kinachomsaidia ni ukakamavu na uzito wa ngumi tu na ngumi zenyewe hajui kurusha hasa kwa mtu kama Floyd asingeambulia chochote.
 
Billion 1...[emoji33][emoji44]. Kwann ckuzaliwa gym mimi
Utaweza kashkashi za Gym? [emoji16][emoji16]
8e50503390561c35497ab6eea79eb0a7.jpg
 
Inawezekana.

Mkataba hua unakua kwamba "Wewe A utachukua asilimia 48 ushinde ushindwe wewe B utachukua asilimia 52 ushinde ushindwe"

Ndiyo maana Mayweather kawakimbia wakina Rigo, Crawford, GGG, Banks Jr n.k. kwasababu alifocus kwenye pesa. Katumia muda mwingi sana ulingoni na journeyman kuliko real boxers.
Halafu unamshindanisha Floyd na Chriss Eubanks??

Aisee we jamaa hujielewi kabisa.
 
Bondia asiyepigika Floyd Money Mayweather hatimaye amekubali kufanya rematch na Conor McGregor ila safari hii haitakuwa boxing tena bali UFC kwa dau la USd 1 billion

Na hatoishia kwa Conor tu bali atapambana na mabondia wengine watatu wa UFC kwa dau lisilopungua pia USD 1 billion.

Kiukweli natamani haya mapambano Floyd ayavunje tu hao jamaa wa UFC wanamtamani kweli kwa kuwa wamemshindwa kwenye boxing sasa wamemualika kwao kwa kumdanganya na dau nono na mwishoe Floyd amewakubalia.

Hizi tamaa za Floyd zimenikwaza sana mimi kama shabiki wake nambari moja ulimwenguni

Falsafa zake Floyd ipo siku zitamtokea puani , yeye husema kuwa haangalii sana kupoteza pambano yeye huangalia pesa atakazo ingiza baada ya pambano.

Lakini siku zote bwana pesa huisha ila heshima uliyojiwekea na kuitunza kamwe haiwezi kuisha au kushuka.

Sasa kwa mwendo huu naona kabisa ile record yake ya undefeated inaenda kupotea.
Kuna ka ukweli flani Hivi!
 
Inawezekana.

Mkataba hua unakua kwamba "Wewe A utachukua asilimia 48 ushinde ushindwe wewe B utachukua asilimia 52 ushinde ushindwe"

Ndiyo maana Mayweather kawakimbia wakina Rigo, Crawford, GGG, Banks Jr n.k. kwasababu alifocus kwenye pesa. Katumia muda mwingi sana ulingoni na journeyman kuliko real boxers.
Halafu nitajie bondia mrahisi ambaye unahisi Floyd amepigana naye?
 
Back
Top Bottom