Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Source?
We sasa ndiyo ngumi hujui haya mambo ya kwakua A kampiga B na A alipigwa na C basi C atampiga B kamuulize Ken the Marine boxer alivyokutana na Joe FrazierWe jamaa unaonekana mweupe sana kwenye boxing halafu hujielewi.
Rigondeux kapigwa kizeembe sana kwa RTD juzi na Lomachenko akasingizia mkono unamuuna ndio wakumshindanisha na Floyd?
Huyo GGG kamshindwa hata Canelo Alvarez atamuweza Floyd?
Canelo alitandikwa kama mtoto na Floyd lakini GGG kasanda.
GGG ngumi hajui wala hana defence nzuri kinachomsaidia ni ukakamavu na uzito wa ngumi tu na ngumi zenyewe hajui kurusha hasa kwa mtu kama Floyd asingeambulia chochote.
Yani mayweather alimpiga big show WWE aseh itakuwa nimesahau hilo pambano!!..Wewe shabiki namba moja haujui kua jamaa alishapigana mpaka mieleka? Halafu alipigana na Big Show na akashinda, game nzima ilikua rigged.
Same shit can happen huko kwenye ufc.
Aaaah mamamama Eubanks Jr, Niki alisema kwa kujitamba mwisho wa show alienda kwenye coma.Halafu unamshindanisha Floyd na Chriss Eubanks??
Aisee we jamaa hujielewi kabisa.
Hujui ngumi huwezi na limejidhihirisha hilo baada ya kumshindanisha Floyd na huyo takataka Rigondeux.We sasa ndiyo ngumi hujui haya mambo ya kwakua A kampiga B na A alipigwa na C basi C atampiga B kamuulize Ken the Marine boxer alivyokutana na Joe Frazier
Hahahahhaha mzee baba mbona umepanikiHalafu nitajie bondia mrahisi ambaye unahisi Floyd amepigana naye?
Sijapaniki.Hahahahhaha mzee baba mbona umepaniki
Kila bondia anajitapa kuweza kumpiga Floyd ili tu apate chance ya kupigana na Floyd kwa sababu hata akipigwa ataingiza kiasi kikubwa cha pesa na pia hatopungukiwa kitu kwa kuwa amepigana na mtu asiyepigika.Aaaah mamamama Eubanks Jr, Niki alisema kwa kujitamba mwisho wa show alienda kwenye coma.
Mayweather hajakutana na mtu mwenye stronger chin, amejipangia journeyman wengi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuuh.Man, sio Mayweather tu, hiyo pesa hata wakiniwekea mimi nakwenda wakaniue huko huko.
Nitajie pambano hata moja alilobebwa.Anabebwa sana huyo, .anapigwa lakn anatangazwa yeye...
Watamkata kodi ibaki Tsh 2 trillionHapana 1 usd=Almost Tsh 2300
una maanisha nini?Undefeated kwenye boxing,sio MMA au kickbox au whateva
Ni shemeji yakeVP huyo Mayweather ni kaka ako mpaka uhuzunike?
AyalaSijapaniki.
Umesema Floyd huwa anapigana na mabondia laini sasa nitajie hao mabondia laini unaowajua wewe ambao Floyd alipagina nao.
Kwa hili la kusema atakua amepigwa na mzoefu sikatai, same iliapply kwa Mohamed Ali na Sony Liston, na Athony kwa KlitschikoKila bondia anajitapa kuweza kumpiga Floyd ili tu apate chance ya kupigana na Floyd kwa sababu hata akipigwa ataingiza kiasi kikubwa cha pesa na pia hatopungukiwa kitu kwa kuwa amepigana na mtu asiyepigika.