Nimepokea taarifa za kuhuzunisha kuhusu bondia Floyd Mayweather

Nimepokea taarifa za kuhuzunisha kuhusu bondia Floyd Mayweather

Screenshot_20171216-134831.png
 
We jamaa unaonekana mweupe sana kwenye boxing halafu hujielewi.

Rigondeux kapigwa kizeembe sana kwa RTD juzi na Lomachenko akasingizia mkono unamuuna ndio wakumshindanisha na Floyd?

Huyo GGG kamshindwa hata Canelo Alvarez atamuweza Floyd?

Canelo alitandikwa kama mtoto na Floyd lakini GGG kasanda.

GGG ngumi hajui wala hana defence nzuri kinachomsaidia ni ukakamavu na uzito wa ngumi tu na ngumi zenyewe hajui kurusha hasa kwa mtu kama Floyd asingeambulia chochote.
We sasa ndiyo ngumi hujui haya mambo ya kwakua A kampiga B na A alipigwa na C basi C atampiga B kamuulize Ken the Marine boxer alivyokutana na Joe Frazier
 
Wewe shabiki namba moja haujui kua jamaa alishapigana mpaka mieleka? Halafu alipigana na Big Show na akashinda, game nzima ilikua rigged.

Same shit can happen huko kwenye ufc.
Yani mayweather alimpiga big show WWE aseh itakuwa nimesahau hilo pambano!!..
 
Halafu unamshindanisha Floyd na Chriss Eubanks??

Aisee we jamaa hujielewi kabisa.
Aaaah mamamama Eubanks Jr, Niki alisema kwa kujitamba mwisho wa show alienda kwenye coma.

Mayweather hajakutana na mtu mwenye stronger chin, amejipangia journeyman wengi
 
We sasa ndiyo ngumi hujui haya mambo ya kwakua A kampiga B na A alipigwa na C basi C atampiga B kamuulize Ken the Marine boxer alivyokutana na Joe Frazier
Hujui ngumi huwezi na limejidhihirisha hilo baada ya kumshindanisha Floyd na huyo takataka Rigondeux.
 
Aaaah mamamama Eubanks Jr, Niki alisema kwa kujitamba mwisho wa show alienda kwenye coma.

Mayweather hajakutana na mtu mwenye stronger chin, amejipangia journeyman wengi
Kila bondia anajitapa kuweza kumpiga Floyd ili tu apate chance ya kupigana na Floyd kwa sababu hata akipigwa ataingiza kiasi kikubwa cha pesa na pia hatopungukiwa kitu kwa kuwa amepigana na mtu asiyepigika.
 
Man, sio Mayweather tu, hiyo pesa hata wakiniwekea mimi nakwenda wakaniue huko huko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuuh.

Au na wewe utakuwa kama Rigondeux unasingizia umeumia katikati ya pambano tu ili umalize pambano mapema bila kash kash zozote
 
Anabebwa sana huyo, .anapigwa lakn anatangazwa yeye...
 
Sijapaniki.

Umesema Floyd huwa anapigana na mabondia laini sasa nitajie hao mabondia laini unaowajua wewe ambao Floyd alipagina nao.
Ayala

Apodaca

Sanders

Cooper

Kwa uchache wao.

Katika orodha ni Castillo, Pacq na De La hoya ndiyo walisogelea kumdondosha. Zingine zilikua nyanya
 
Kila bondia anajitapa kuweza kumpiga Floyd ili tu apate chance ya kupigana na Floyd kwa sababu hata akipigwa ataingiza kiasi kikubwa cha pesa na pia hatopungukiwa kitu kwa kuwa amepigana na mtu asiyepigika.
Kwa hili la kusema atakua amepigwa na mzoefu sikatai, same iliapply kwa Mohamed Ali na Sony Liston, na Athony kwa Klitschiko
 
Back
Top Bottom