Nimepokea taarifa za kuhuzunisha kuhusu bondia Floyd Mayweather

Sishangai.nilishawahi kusema mayweather anafanya shoo za ngumi.
 
Pambano lipi amenunua?

Na amepigana na looser yupi?

Usipende kujiongelesha kama unasukumiziwa mashine kwenye kinyeo
 
Mkuu ni hela nyingi mno!!.....Nimeingia online kuzibadilisha kuwa tz shillingi nimeshindwa kusoma hizo tarakimu,please nisaidie kuniambia ni shillingi ngapi!![emoji116]
Hahahaha ni kweli ni pesa nyingi.
mi nimesema ni kweli nikimaanisha kua ndicho jamaa anachoclaim siyo kweli kwamba hadi mkataba ushasainiwa.

Nadhani ni kwakua hiko kiasi siyo kwa ajili ya pambano moja pekee ni multi fight
 
nionyeshe wapi ulipotoa huo upupu. Tatizo ni kutafsiri Kiingereza au uongo wa asili tu mtu kujisikia kuongopa?
 
Kaka hizo one billion dollar unajua zilitetemesha Bongo nzima hapa majuzi kati!! Muache tu akapambane
 
Pambano lipi amenunua?

Na amepigana na looser yupi?

Usipende kujiongelesha kama unasukumiziwa mashine kwenye kinyeo
We ku.m unayeongelea mafanikio ya vijana wenzio kila muda una rinda weye.
Usiongee upuuzi kwa baba zako ambao ndio tumesukumiza mashine kwenye tobo zote za mamaako ndo ukatoka wewe ma.vi.
Hayawani ww
 
Huyo kashanasa kwenye mtego wa panya, ufc atapasuliwa sana kule hakunaga mchezo, atapata pesa nyingi na aibu nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…