Nimepokea taarifa za kuhuzunisha kuhusu bondia Floyd Mayweather

Nimepokea taarifa za kuhuzunisha kuhusu bondia Floyd Mayweather

Sishangai.nilishawahi kusema mayweather anafanya shoo za ngumi.
 
1 billion usd!!!......hii itakuwa ni fake news!!
Ni kweli


Screenshot_2017-12-16-14-23-02.png
 
Floyd mwoga wa kupigwa na bondia gani unacheza ngumi kiblazameni.
Eti bondia asiepigika mavii,yule anatafuta wale mabondia malooser anaangusha dau. Baada ya hapo anatrainiwa jinsi ya kuachia ushindi siku ya tukio linalofuata ni promo na wafadhili then wanapoliwa watu ni pale pay per view.
Dunia nzima wanamchangia na kuwafurahisha anashinda tena.
Anastaafu watu wasahau, mara anaibuka tena akimpata looser mwingine anadai nimeombwa kurudi ulingoni.
Process ile ile inarudiwa.
Uzuri wale waliomzunguka wote wanapata chao na huyu looser anapata hela tena ndeefu.
Mc connor mpaka sasa huko kwao ye ndo Don ananunua mechi na anashinda zote kisha bata na mkwanja kavuta.
Pambano lipi amenunua?

Na amepigana na looser yupi?

Usipende kujiongelesha kama unasukumiziwa mashine kwenye kinyeo
 
Mkuu ni hela nyingi mno!!.....Nimeingia online kuzibadilisha kuwa tz shillingi nimeshindwa kusoma hizo tarakimu,please nisaidie kuniambia ni shillingi ngapi!![emoji116]
Hahahaha ni kweli ni pesa nyingi.
mi nimesema ni kweli nikimaanisha kua ndicho jamaa anachoclaim siyo kweli kwamba hadi mkataba ushasainiwa.

Nadhani ni kwakua hiko kiasi siyo kwa ajili ya pambano moja pekee ni multi fight
 
Bondia asiyepigika Floyd Money Mayweather hatimaye amekubali kufanya rematch na Conor McGregor ila safari hii haitakuwa boxing tena bali UFC kwa dau la 1 billion USD

Na hatoishia kwa Conor tu bali atapambana na mabondia wengine watatu wa UFC kwa dau lisilopungua pia 1 billion usd
nionyeshe wapi ulipotoa huo upupu. Tatizo ni kutafsiri Kiingereza au uongo wa asili tu mtu kujisikia kuongopa?
 
Kaka hizo one billion dollar unajua zilitetemesha Bongo nzima hapa majuzi kati!! Muache tu akapambane
 
Pambano lipi amenunua?

Na amepigana na looser yupi?

Usipende kujiongelesha kama unasukumiziwa mashine kwenye kinyeo
We ku.m unayeongelea mafanikio ya vijana wenzio kila muda una rinda weye.
Usiongee upuuzi kwa baba zako ambao ndio tumesukumiza mashine kwenye tobo zote za mamaako ndo ukatoka wewe ma.vi.
Hayawani ww
 
Huyo kashanasa kwenye mtego wa panya, ufc atapasuliwa sana kule hakunaga mchezo, atapata pesa nyingi na aibu nyingi
 
Back
Top Bottom