Nimepokea ujumbe...

Nilidhani unaongelea ujumbe mzuri kama huu?
 
Sasa hapo mbona cjaona tatizo?mi kaka zangu hata binamu nawaita luv,swithrt,mpnz,darling nk.so nini tatizo hapo? Huo wivu wa kijinga muda mwingine.
 
afanye uchunguzi kwanza.. Ila aitafute hiyo namba aijue imeseviwaje,na mwenye no hiyo anaishi wapi.. Kisha arelate na mazingira aliyompata mkewe..

Akikamilisha uchunguzi(asiwe na haraka),ndiyo amweke chini mkewe,ajitetee na ndipo ataprove sasa...
 
Sasa hapo mbona cjaona tatizo?mi kaka zangu hata binamu nawaita luv,swithrt,mpnz,darling nk.so nini tatizo hapo? Huo wivu wa kijinga muda mwingine.
Duh una hatari unashindwa kumtofautisha mmeo na nduguzo?
 
mshauri nae areply........mwaaaaaaaaaaaaa!!!!
Tena aongezee "darling usiwe na wasiwasi, nimeshafika tayari you will meet me in your bedroom today..." Ama kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Wake zetu..!, kaaazi kweli kweli...
 
Kiukweli inshu imekuwa kubwa.Wazazi wameshatumiwa nauli waje.Wapo Morogoro.Padre naye ameshataarifiwa.Kesho ndio kesho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…