Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni bora kaamua kufanya maamuzi magumu-maana hapo alikuwa analiwa ,mali yakeJamaa ameshaitisha kikao cha kifamilia.Hali imekuwa tete...
Duh una hatari unashindwa kumtofautisha mmeo na nduguzo?Sasa hapo mbona cjaona tatizo?mi kaka zangu hata binamu nawaita luv,swithrt,mpnz,darling nk.so nini tatizo hapo? Huo wivu wa kijinga muda mwingine.
Tena aongezee "darling usiwe na wasiwasi, nimeshafika tayari you will meet me in your bedroom today..." Ama kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Wake zetu..!, kaaazi kweli kweli...mshauri nae areply........mwaaaaaaaaaaaaa!!!!