Nimepokea ujumbe...

Nimepokea ujumbe...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Usiku WA jana,rafiki yangu ambaye ameoa hivi karibuniamenihadithia kituko cha kimahusiano.Ilikuwa hivi: jamaa alikuwa na mkewewakiangalia taarifa ya habari TBC1.Sasa mkewe akawa anatuma ujumbe mfupi kwandugu,jamaa na marafiki.Bila kutarajia,jamaa ambaye ni mume akapokea ujumbetoka katika simu ya mkewe aliye naye hapo sebuleni.Ujumbe ukasema:"mwaaaa! dear usafiri salama kesho ili nami nikuone ukifika hapa.Ninahamunawe kweli.I miss you so much.Ukifika nijulishe.."

Pasipo kushtuka,mke akapiga simu na kuuliza: umeipata message niliyokutumiaBinamu? Baadaye,akaonekana kutuma tena huku akionekana ana wasiwasi.Mumehakuonyesha kutahayari ila anaomba ushauri juu ya nini cha kufanya.WanaJFmsaidieni tafadhali...mimi nimeshindwa pa kuanzia
 
hilo busu ndio limeharibu hapo, otherwise msg haikuwa so incrimanating... anyway, ukiona manyoya ujue tayari...
 
Kwahiyo hiyo binamu ni kibwagizo tuu!
Kweli maandiko hayakuongopa yaliposema ishini nao kwa maarifa
 
Usiku WA jana,rafiki yangu ambaye ameoa hivi karibuniamenihadithia kituko cha kimahusiano.Ilikuwa hivi: jamaa alikuwa na mkewewakiangalia taarifa ya habari TBC1.Sasa mkewe akawa anatuma ujumbe mfupi kwandugu,jamaa na marafiki.Bila kutarajia,jamaa ambaye ni mume akapokea ujumbetoka katika simu ya mkewe aliye naye hapo sebuleni.Ujumbe ukasema:"mwaaaa! dear usafiri salama kesho ili nami nikuone ukifika hapa.Ninahamunawe kweli.I miss you so much.Ukifika nijulishe.."

Pasipo kushtuka,mke akapiga simu na kuuliza: umeipata message niliyokutumiaBinamu? Baadaye,akaonekana kutuma tena huku akionekana ana wasiwasi.Mumehakuonyesha kutahayari ila anaomba ushauri juu ya nini cha kufanya.WanaJFmsaidieni tafadhali...mimi nimeshindwa pa kuanzia
Dah....namuaonea huruma huyo dada! Hili soo sijui anatokaje hapa na ndoa yenyewe ndio changa!

Mumewe hapa inabidi awe na subra.....inawezekana hiyo msg ilikuwa inaenda kwa 'binamu' wa kike...na kwa wadada kubusiana (ingawa sina hakika kama hata kwenye msg inafanyika!), kuandikiana, na kuambiana maneno kama haya ya upendo (au kimahaba) sio kitu kisichotegemewa!
 
Many females harbor anger and malice against the entire male gender. They seek out vengeance by putting nice men through the: divorce, domestic violence, family and child support courts. Learn how to recognize these females lest you become the next recipient of their cunning unforgiving wrath – Exclamation point!

Binamu huyooooo! Naenda kumpokea, Binamu kweli kweli.........Huyo. Hii ndyoi staili.
 
Mpe pole sana mwambie yeye ndo mwamuzi mkuu kwani anamjua wife wake vizuri
 
huyo mke hana adabu hata kama ameamua kuwa na kigudulia sio kufanya mambo ya wanafunzi mbele ya muhusika mjinga mshamba mnzinzi
 
vitu vingine unapotezea tu

Hata mi ningepotezea tu...tangu lini mtu anamwaga kopo zima la sukari kisa sisimizi kaingia kudoea!?

Unatingisha kopo lako, sisimizi anasepa fasta, unaendelea kulamba sukari yako!
 
mmmmh!jamaa ana subira kupita kiasi.ilitakiwa pale pale alianzishe kwa kuchukua hiyo namba ya binamu ili wamfafanulie walikua na maana gani kutumiana ujumbe wa namna hiyo.otherwise hapo tena mpaka kupata ukweli ni ngumu sana
 
Duh, I wish Mungu angenipa utulivu kama wa huyo jamaa, me I think timbwili lingeanzia pale pale na mleta maada probably ungeleta mada kivingine hapa..:eyebrows:
 
Back
Top Bottom