Nimepona bawasiri; Asante Mungu

Mleta uzi ungesema Basi umepona kwa njia gani? Tupate kujua tu.
 
Ukiacha dawa za Hospital, dawa kubwa ya asili ni kuyakalia maji ya uvuguvugu yaliyo kwenye beseni yaliyochanganywa na chumvi nyingi kila siku kabla ya kulala kwa siku tano mfululizo. Unapona kabisa.
Dawa ni maji ya moto unachanganya na chumvi unajikanda kwenye kinyeo asbh na ukitaka kulala mpaka upone ,ukifanya hivi week nyingi unapona
 
Sawa mkongwe. Ili kujua dawa iliyokuponya tuje PM, sio!?
Nashauri kama hujaanza kuumwa huu ugonjwa hakikisha unakula matunda kwa wingi na kunya maji ya kutosha haswa mapapai kwa ajili ya kukainisha choo haswa kwa wale tunaokaa kwenye kiti muda mrefu
 
Hivi bawasili husababishwa nanini???

Pole na hongera asee
 
Kwani nini hii changamoto imekuwa kubwa na kwakumba watu wengi kwa sasa?
Ulaji wa vyakula visivyokuwa na roughage nyingi vinakwenda kutengeneza kinyesi kigumu na unapokitoa kwa nguvu hiyo shida ndio inaanza. Lakini kwa wafanya mazoezi ya kukata tumbo bila kutumia mikanda ya tumboni shida hii huwa inatokea. And most of the patients are obese. So sijui kitaalam zaidi lkn nadhani lifestyle inachangia sana mkuu
 
Reactions: Cyb
Uliponaje maana mimi natibu ugonjwa huu na dawa yangu ni best sanaaa ya kupqka tu haijawai kufel

Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…