Mambo ma mchungajiMk 16:17-18
Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Hivi kile "Chama Cha Mziki wa Dansi Tanzania" kinaitwaje kwa kifupi?Kwanini walokole wengi siyo wazima kichwani?
Wale wanaosema utoe sadaka ya kujikataa ili wakuombee, wakisikia hiyo kauli itakuwajeMtu akikuambia utoe pesa kwanza ndio akuombee, mkimbie haraka, huyo ni tapeli mkubwa.
Ndugu zako wakuwahi na wakusimamie umeze dozi unaweza kupona hawajachelewa sanaEnyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulubiwa? (Wagalatia 3:1-14)
Kwani wewe utaishi milele? Anza kuzihesabu siku zako zilizobaki za kuishi duniani. Sio nyingi. Sekunde ya kwanza tu baada ya kukata moto, ndio utatambua kwamba mada zangu hazikuwa porojo. For in that infinitesimal interstice between temporal cessation and eternal adjudication, the so-called trivialities you disdain metamorphose into transcendental verities of ineluctable consequence. Your derision today shall be eclipsed by an incontrovertible realization, that divine truth is neither frivolous nor negotiable.Porojo.
Wakikuwahi utapona ila wanavyochelewa utafungiwa mirembeExpert member tangu 2018 huwezi kuandika hata paragraph moja yenye hoja zilizoenda shule. Una-copy na ku-paste kauli zilezile. Duh
Huu uzi unakuhusu. Usome kwa makiniWakikuwahi utapona ila wanavyochelewa utafungiwa mirembe
Kufa nitakufa hata leo. Lakini nasema hiviii hizo ni porojo kama nyingine.Kwani wewe utaishi milele? Anza kuzihesabu siku zako zilizobaki za kuishi duniani. Sio nyingi. Sekunde ya kwanza tu baada ya kukata moto, ndio utatambua kwamba mada zangu hazikuwa porojo. For in that infinitesimal interstice between temporal cessation and eternal adjudication, the so-called trivialities you disdain metamorphose into transcendental verities of ineluctable consequence. Your derision today shall be eclipsed by an incontrovertible realization, that divine truth is neither frivolous nor negotiable.