Nimepona tena baada ya kuweka mkono na kukemea ugonjwa!

Nimepona tena baada ya kuweka mkono na kukemea ugonjwa!

Mk 16:17-18
Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Njoo nikupe sumu unywe tuone kama hutakufa kiazi wewe
 
Usimjaribu Bwana Mungu wako (Luka 4:12)
IMG_0568.jpeg
 
Kichwa chako ni roundabout ya hewa au jagi la mate….idiot 😂
 
Hapa sio Tiktok. Toa hoja zinazoonesha kuwa wewe ni: "Expert member"
 
Hapa sio Tiktok. Toa hoja zinazoonesha kuwa wewe ni: "Expert member"
Unaumwa
 
Back
Top Bottom