Nimepona Ugonjwa wa Presha ya Juu kwa kubadili tu mfumo wa maisha

Uzi bora kwa mawaka 2023 naufuatilia nitakupa mrejesho mkuu by october,2023
 
Ni kweli kabisa ukipima presha ikaonekana iko juu cha kwanza kabisa usipanik, epuka kabisa hofu hiyo ni njia moja ya kuitibu ndipo mengine yanafuata.

Pia unene hauna maana kabisa ni cha kuepuka kabisa na kupunguza mawazo.
hofu ni shida mno, ilinisumbua mno, niliona ni mwisho wa maisha nilipoambiwa hivyo...ila nilipobadili mawazo tu nakuondoa hofu maisha yameendelea...ila aisee mfumo wa maisha yakisasa ni mbovu mno kiafya hasa umri unaposogea...ukifika miaka 30 unakunywa kunywa misoda kwa wingi kula misukari sukari halafu hauko active kimazoezi nk ujue kuwa magonjwa hatari pressure na kisukari yanakunyemelea
 
Kila mtu ana mwili wake. Hata kunywa maji megi kupitiliza ni hatari kiafya
ni kweli ndio maana nimekuwa nikinywa hivyo standard na siku hazifanani, kuna siku mwili unaona kabisa unataka maji mengi basi unaongeza kuna siku unajiona unataka tu kiasi. Maji mengi yanaleta kutokuwa na msawazo wa electrolytes (umeme wa moyo) ndio unaweza pata irregular heart beats
 
Uzi bora kwa mawaka 2023 naufuatilia nitakupa mrejesho mkuu by october,2023
Tupo pamoja mkuu nakuombea kila la kheri katika safari zakujikana nafsi yako....maisha nikuchagua....inawezekana kabisa....muhimu kukomaa katika safari yakujiletea mabadiliko yakiafya tele
 
Kilichokutibu presha sio mazoezi,ni akili yako mwenyewe.
 
Watu wengi huwa wakisikia magonjwa kama pressure na kisukari wanadhani ni magonjwa yanawapata wazee au baadhi ya watu ila wao hayawahusu. Ukweli ni kwamba vijana wa kizazi hiki na life style zao wanavisukari na pressure kuanzia miaka 20 and above.wengi hawajui...nimeshuhudia vijana kadhaa wamekufa vifo vya ghafla kutokana na pressure. Na vijana wengine wadogo hata 30 hawajafika pressure zinawasumbua.....vijana wanadhani pia tatizo la nguvu za kiume linachangiwa na life style ya kula mbovu...kikubwa ni pressure na kisukari pia..
Maisha yamebadika nowadays vijana wanakula junk foods, wanga mwingi halafu ulevi ndio usiseme..miaka inavyokwenda tatizo liitakuwa kubwa sana kwa kizazi hiki
 
im
emenena vema sana mkuu
 
Asante sana kwa hii thread MKUU!. Nacopy hii lifestyle kuanzia leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…