Nimepona Ugonjwa wa Presha ya Juu kwa kubadili tu mfumo wa maisha

Hongera umepambana sio Kila mtu anaweza maana panahitaji nidham ya hali ya juu hasa pale unapokuwa na uwezo wa kupata hayo yote uliyoacha
 
Uko sahihi Sana na ajabu na Sisi tunawataka hayo maisha,ukiwekeza Sana kwenye material love haitakuja tokea hata siku moja ukawa kwenye Amani maana competition yake ni kubwa sana ndio kinacho waumiza western wengi
 
Kula organic food ulavyo,Kula chakula chochote Chenye ubora kama huna peace of mind na ukakumbatia nge
 
Hayo masharti uliyojiwekea hayafai kuigwa sababu yanaweza kuwa na madhara kwa wengine,japo yalikusaidia,hongera sana kwa kupona presha.
Sure...kila mtu ajisikilize mwili wake..
 
Kila nikisema leo naanza dayati mara paaapu nasikia harufu ya ugali dagaa nahairisha...😃😃
 
Kukimbia km 5 kila cku hiyo ni kamba, labda km hujui how it measured
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…