Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Aliyeoa kapata mke sio?unahuruma sana mrembo.ubalikiwe..
wee mrembo upo?i miss yo 😕Pole sana
nahisi hajaolewa.nitafanya mafekechee nimuoe.Aliyeoa kapata mke sio?
😀😀😀 yaani wewe sijui nisemeje 🤔🙌Pole sana ila dudu inasimama?
Chukua chombo hiyo weka ndani huyo ndo wife material 😀nahisi hajaolewa.nitafanya mafekechee nimuoe.
yaa😕nimemfatilia Sanaa tokea kitambo yupo vizuri atanifaa sanaChukua chombo hiyo weka ndani huyo ndo wife material 😀
Umenifananishawee mrembo upo?i miss yo 😕
😀😀😀 yaani wewe sijui nisemeje 🤔🙌
Kama umejiridhisha weka ndani jilie vyako jinsi alivyo na huruma atakupea vizuri tu aminiyaa😕nimemfatilia Sanaa tokea kitambo yupo vizuri atanifaa sana
Hiki kizazi Haki kimepotoka Toka tumboni tuPole sana ila dudu inasimama?
Sasa akitaka kutest mitambo utakuwa tayari kumsaidia ndg yetu 😀Naulizia sehem muhimu wewee
ndio wewe nuzulati.nikikuona moyo unafanya paaaap..Kisha mapigo yanaongeza mwendo kidogo.so nimeshindwa kuhendo.Umenifananisha
Sasa akitaka kutest mitambo utakuwa tayari kumsaidia ng yetu 😀
yaamen😕Kama umejiridhisha weka ndani jilie vyako jinsi alivyo na huruma atakupea vizuri tu amini
shem numbisa mamboo!Pole mkuu
CHIZI VITABU nenda ikonda pale Kuna wazungu utapona