Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

Nimepooza kiuno hadi chini, msaada tafadhali

Pole sana ila dudu inasimama?
Tuwe na staha kidogo, vipo vya kufanyia dhihaka lakini si maradhi ya mtu.

Inawezekana ikawa umeuliza kwa nia ya kutaka kujua lakini hudhani si wakati muafaka kuuliza hilo swali.
Ni kama unaetia ndimu kidonda.

Anyways ni mtazamo wangu tu sina dhamira ya kujifanya nina maadili zaidi.
 
Back
Top Bottom