ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,251
Nimemshangaa uyo mwamba kwa upumbavu wake aliouonyesha apa aisee kweli hii nchi ni ya ajabu sana sana na ndo maana tunaendelea kuwa maskini wakubwa na wa kutupwaMkuu uulizaji wako ni wa kisiasa na sijajua umri wako na Kazi yako kwa ujumla Uzi huu unamgusa MTU wa nitoke Nile nilale nife na njaa labda nikuulize swali dogo tu?!
Hivi pale Machinga complex na hapa Karume Ni masoko ya akina nani labda?! Ukifika pale Karume Kuna Bango kubwa na lenye maandishi makubwa kuwa Karume na soko kuu la wafanyabiashara wadogo wadogo halafu mambo ya unyang'anyi yanafanyika mbele ya hilo hilo Bango
Kama unauhakika na sehemu ya kazi chakula na Makazi wacha kusema siasa kwa sehemu ambayo vijana wenzako wanapotafutia ridhiki zao.