Nimeporwa Nguo zangu hapa Karume na Askari wa Jiji

Nimemshangaa uyo mwamba kwa upumbavu wake aliouonyesha apa aisee kweli hii nchi ni ya ajabu sana sana na ndo maana tunaendelea kuwa maskini wakubwa na wa kutupwa
 
SASA HIZO FEDHA SI BORA SERIKALI IKAZICHUKUWA KWA MPANGILIO MAALUMU, SASA KILE KIDOGO CHOTE KINAENDA KWENYE MLUNGULA.
WATENGENEZE MPANGO MAALUMU WAWAPANGE VIZURI FEDHA ZIOKOTWE HAPO ZIREKEBISHE HATA KINGO ZA BARABARA YAANI VIWEKWE VYUMA VYA KUTENGA WATU WASIINGIE BARABARANI.
Hata hapo rozana vilikuwepo vikitenga main road na stands na si watu kupita hovyo Hovyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…