Nimepotea Jamvini kwa sababu ya majukumu tu

Nimepotea Jamvini kwa sababu ya majukumu tu

Liwalo na liwe sisi teamMAMA tunasema mitano tena kwa mama, atake asitake.

Mama anaupiga mwingi
umehamia lini kwa Team Mama?
yaani ni lini umeingia CCM?
 
umehamia lini kwa Team Mama?
yaani ni lini umeingia CCM?
Nani kasema mimi nina chama.

Mimi ni wale wa dizani kama

Swali: Wewe unafanya kazi gani?

Jibu: Ni msaidizi wa padre kanisani

Swali; Wewe ni mkristo?

Jibu: Hapana sina dini...

Nimeuelewa mziki wa mama lakini mimi CCM...

Mitano tena kwake, atake asitake
 
Endelea kupotea, kwanza huna impact yoyote humu zaidi ya kulamba makalio ya watawala ili mkono uende kinywani
 
Nipende kuomba radhi kwa kupotea jamvini kwa muda.
Sababu kubwa ni majukumu mengi niliyopewa.
Wakati muafaka ukifika nitarejea.
bado misimamo yangu ni ile ile na kamwe haitobadilika.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Uje uchome sindano ya kinga ya covid 19 sie tuko ngangari kinga tunayo bado wewe.
 
Nilikukumbuka sana leo, nikajisemea hii birthday yangu na mshua mwaka huu hadi jingalao kapotea..... kwangu ngumu maana bado naomboleza[emoji41][emoji41]

Endelea kupumzika kwa amani kipenzi chetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji1241][emoji120]

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote [emoji7][emoji1241][emoji120]
Mume wako atakuwa hafanyi kazi yake sawasawa
 
kuna majina humu yakipotea tutauliza kutokana na umaarufu wao kama jingalao, sababu kuu ni uwasilishaji wa mada zao na uchangiaji wao. Kuna member humu wamekuwa kama brand wasipoonekana majukwaani panapoa kutokana na mijadala yao motomoto
 
Nilikukumbuka sana leo, nikajisemea hii birthday yangu na mshua mwaka huu hadi jingalao kapotea..... kwangu ngumu maana bado naomboleza😎😎

Endelea kupumzika kwa amani kipenzi chetu John Pombe Joseph Magufuli 🇹🇿🙏

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿🙏
Sema kipenzi changu na siyo chetu, sisi watanzania tunapenda sana kulazimishana mambo yasiyo na tija, ukipata pesa husemi zetu unasema zangu, mwendazake unasema kipenzi chetu! Mbona sikukutuma unisemee!
 
Nipende kuomba radhi kwa kupotea jamvini kwa muda.
Sababu kubwa ni majukumu mengi niliyopewa.
Wakati muafaka ukifika nitarejea.
bado misimamo yangu ni ile ile na kamwe haitobadilika.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Shukrani sana mkuu. Tulimiss point zako zisizo na jazba. Kila la heri katika majukumu ya ya ujenzi wa Taifa
 
Nilikukumbuka sana leo, nikajisemea hii birthday yangu na mshua mwaka huu hadi jingalao kapotea..... kwangu ngumu maana bado naomboleza[emoji41][emoji41]

Endelea kupumzika kwa amani kipenzi chetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji1241][emoji120]

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote [emoji7][emoji1241][emoji120]
Siku ya Jana ndio ilikuwa birthday ya mwamba[emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom