Nimepotea naona giza kwa hii anasa

Aisee sii mchezo. Ila bwana nakwambia kabisa kuwa kuwa na hao malaya ni less expensive than kumiliki demu
 
Naona Kama Nina Nidhamu Ya Uwoga Naonesha Heshima Kwa Watu Ikifika Usiku Nakuwa Fisi.

Pesa Yangu Haifanyi Maendeleo Zaidi Ya Hiyo Anasa. Sivuti Bangi, sigara Wala Pombe.
Na wengi ndio mpo hivi hamjiamini hamjui kutongoza hamuwezi kuishi na Mwanamke na kuoa mnaona ujinga, mwisho mnaona Bora tu muolewe na mnaanza kupelekewa moto na wanaume mabaazazi mkija kushtuka mmeshakua mapunga
 
Ukitoka kupima afya,njoo tukupe ushauri zaidi.
 
Damu Bado inachemka mdogo etu huo uraibu uliouingia ni rahisi sana kuacha ukiamua...

Hakuna kitu ngumu kama kuacha uraibu wa pombe, sigara, ugoro na Madawa ya kulevya

Pia acha kuiangalia xxx videos na big booty photos

Tafuta kitu very constructive Cha kufanya when you get horny

Pia unaweza kutembelea wagonjwa wanao umwa sana mahospitalini hii itakufanya uone hasara ya kununua Malaya na itakusaidia kuswali Kwa dhati ya moyo...

NB: kama unapenda sana papuchi a.k.a mbususu fanya ujipange uiweke ndani mdogo etu...
 
Akhy assalaam alykm.... nimefurahi kuona mchango wako hapa.

Kwangu ni kama sijakuona kitambo au labda huwa tunapita mitaa tofauti maana jf kubwa.
Wa'alaykum salaam warahmatullaahi wabarakaatuhu. Nadhani hapa ulinilenga mimi Akhy. Allah akulipe kheri.
 
Hapo hujakwepa anasa kwa sababu hata kununua dada poa ni anasa ngono zitakumaliza
 
Pole saba Mkuu,lkn kwa kuwa ww mwenyewe hupendi hii tabia naamini Mubgu atakusaidia.Hicho ni kifungo huwezi jitoa kwa akili zako,jaribu njia za kiroho.Nenda kwenye maombezi
 
yaani unanunua wawili kwa mwezi unasema uraibu😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…