Nimepoteza Cheti Cha Form 4, nimemaliza 2009

halimbaya

Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
63
Reaction score
15
Habari wakuu.

Nasikitika kusema nimepoteza Cheti Changu Cha Form 4. Cheti hiko kimepotea pamoja na vyeti vingine ambavyo nilimpa bibi yangu anitunzie kwa kipindi hiki ambacho bado naendelea na masomo mengine. Je,kuna uwezekano nikapata kingine nikifatilia pale NECTA?

Asante!
Dogo wala usiogope, vyeti vya necta vinatolewa kwa waliomaliza shule kuanzia mwaka 2008 vina picha na viko kwenye system ya necta ila kabla ya hapo ukipoyeza cheti wanakupa statement of result.

Unachotakiwa kufanya kama vilipotea na kuna uwezekano kwamba mtu mwngne aliokota na anaweza kutumia unatakiwa kutangaza gazeti la serikali kama daily news,habari leo na uhuru la ccm.

Kisha unachukua ikurasa wa tangazo lako kwenye gazeti unakaa nalo hadi miezi 3 kisha unawapelekea necta hapo unalipia 100000 ya cheti kipya baada ya miezi 3 wanakupa kipya.

Kama kilipotea na una uhakika hakikuweza kuokotwa na mtu kama kuungua au mafuriko au panya au mchwa hutatakiwa kutangaza gazetini, nenda kwa mwenyekiti wa mtaa wa bibi yako akupe barua ya utambulisho kwamba ni kweli kililiwa na panya uipeleke necta fasta kisha ulipie usubiri miezi 3 upewe kipya.

Tembelea web ya necta kuna form pale na maelezo jinsi ya kupata cheti kipya.

Vyeti vya zamani vilikua vinachapishwa na kiuta na sio necta kwa hiyo wanajidai hawana kumbukumbu maana havikua na picha na havikua digitlized ndio maana watu walivichakachua sana.

Nakutakia kila la heri mdogo wangu.
 
Ukienda pale NECTA watakupa taarifa zote nini wapaswa fanya .
 
Mkuu unatakiwa kutoa tangazo kwenye gazeti la serikali kuhusu kupotea kwa cheti then uchukue kwenye huo ukurasa wenye tangazo uambatanishe na kitambulisho chako na matokeo yako alaf ukipeleka necta unapewa form ya kuomba cheti upya ambapo vitatumwa mahali vinapohitajika na si kupewa mkononi
 
Nashukuru sana mkuu,nitaanza hizo procedure mapema iwezekanavyo
 
cheti ni karatasi tu,elimu si unayo kichwani bana,
shida iko wapi kwani?
 
Dogo wala usiogope, vyeti vya necta vinatolewa kwa waliomaliza shule kuanzia mwaka 2008 vina picha na viko kwenye system ya necta ila kabla ya hapo ukipoyeza cheti wanakupa statement of result.

Unachotakiwa kufanya kama vilipotea na kuna uwezekano kwamba mtu mwngne aliokota na anaweza kutumia unatakiwa kutangaza gazeti la serikali kama daily news,habari leo na uhuru la ccm.

Kisha unachukua ikurasa wa tangazo lako kwenye gazeti unakaa nalo hadi miezi 3 kisha unawapelekea necta hapo unalipia 100000 ya cheti kipya baada ya miezi 3 wanakupa kipya.

Kama kilipotea na una uhakika hakikuweza kuokotwa na mtu kama kuungua au mafuriko au panya au mchwa hutatakiwa kutangaza gazetini, nenda kwa mwenyekiti wa mtaa wa bibi yako akupe barua ya utambulisho kwamba ni kweli kililiwa na panya uipeleke necta fasta kisha ulipie usubiri miezi 3 upewe kipya.

Tembelea web ya necta kuna form pale na maelezo jinsi ya kupata cheti kipya.

Vyeti vya zamani vilikua vinachapishwa na kiuta na sio necta kwa hiyo wanajidai hawana kumbukumbu maana havikua na picha na havikua digitlized ndio maana watu walivichakachua sana.

Nakutakia kila la heri mdogo wangu.
 
Dogo wala usiogope, vyeti vya necta vinatolewa kwa waliomaliza shule kuanzia mwaka 2008 vina picha na viko kwenye system ya necta ila kabla ya hapo ukipoyeza cheti wanakupa statement of result.

Unachotakiwa kufanya kama vilipotea na kuna uwezekano kwamba mtu mwngne aliokota na anaweza kutumia unatakiwa kutangaza gazeti la serikali kama daily news,habari leo na uhuru la ccm.

Kisha unachukua ikurasa wa tangazo lako kwenye gazeti unakaa nalo hadi miezi 3 kisha unawapelekea necta hapo unalipia 100000 ya cheti kipya baada ya miezi 3 wanakupa kipya.

Kama kilipotea na una uhakika hakikuweza kuokotwa na mtu kama kuungua au mafuriko au panya au mchwa hutatakiwa kutangaza gazetini, nenda kwa mwenyekiti wa mtaa wa bibi yako akupe barua ya utambulisho kwamba ni kweli kililiwa na panya uipeleke necta fasta kisha ulipie usubiri miezi 3 upewe kipya.

Tembelea web ya necta kuna form pale na maelezo jinsi ya kupata cheti kipya.

Vyeti vya zamani vilikua vinachapishwa na kiuta na sio necta kwa hiyo wanajidai hawana kumbukumbu maana havikua na picha na havikua digitlized ndio maana watu walivichakachua sana.

Nakutakia kila la heri mdogo wangu.

Asante sana mkubwa wangu,ushauri wako utanifaa sana.Nitajitahidi kuzingatia.Mungu akubariki sana
 
Back
Top Bottom